KUMEKUCHA DAY 2022

PICHA KATIKA MATUKIO

Picha mbali mbali zikionesha na kuelezea jinsi tamasha la KUMEKUCHA DAY  2022 lilivyofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe – Mbeya

KUMEKUCHA DAY 2022

Wasikizaji wa Redio Bomba FM wakifurahia burudani ya muziki kutoka kwa wasanii mbali mbali katika tamasha la KUMEKUCHA DAY 2022 lililofanyika viwanja vya Ruanda Nzovwe

TAWALA JUKWAA

Msanii Vocal lizer akionesha uwezo wake wa kuimba na kucheza mziki katika tamasha la KUMEKUCHA DAY 2022 lililo andaliwa na Redio Bomba FM Mbeya

PICHA YA PAMOJA

Viongozi wa Redio Bomba FM wakiwa katika picha ya pamoja nawadau mbali mbali na wasikilizaji wake katika tamasha la KUMEKUCHA DAY 2022

WADAU WA BOMBA FM

Wasikilizaji wa Redio Bomba FM wakiwa katika picha ya pamoja katika tamasha la KUMEKUCHA DATY 2022