Uncategorized

JUKWAA LA WANAWAKE WA VIJIJINI WAPAZA SAUTI MWANAMKE KUTOMILIKI ARDHI.

Jukwaa lawanawake wa vijijini (RWA) wamepaza sauti kwa jamii na wadau kuwasaidia wanawake wa vijijini wananvyo nyimwa nafasi ya kumiliki Ardhi kitendo ambacho ni kinyume na haki za kibinadamu,Jinsia na Usawa.Akizungumza wakati wa kuandaa mpango kazi wa uzinduzi wa kampeni ya MWANAMKE KUPEWA NAFASI YA UMILIKI ARDHI Mkurugenzi wa shirika la (MIICO) Bi. Catherine Mulaga […]

JUKWAA LA WANAWAKE WA VIJIJINI WAPAZA SAUTI MWANAMKE KUTOMILIKI ARDHI. Read More »

ASILI YA VALENTINE’s DAY

Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine’s Day).Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo Padri Valentine ambaye akaja kuheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe hiyo.Hadithi zilizosababisha sikukuu kuenea zaidi duniani kote. Kwa mujibu wa mtandao wa history.com umeeleza kuwa kiongozi (Kaisari) wa kipindi hicho

ASILI YA VALENTINE’s DAY Read More »

SERIKALI KUWEKEZA KIDIJITALI KUWAFIKIA WALIPAKODI WENGI ZAIDI ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha mfumo wa kodi ulio rahisi kuutumia kwa kuwekeza zaidi katika mifumo ya kidijitali na kuwafikia walipa kodi wengi zaidi pamoja na kuimarisha ofisi za kodi kila Mkoa na Wilaya zake Zanzibar.Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo katika hafla ya Maadhimisho ya

SERIKALI KUWEKEZA KIDIJITALI KUWAFIKIA WALIPAKODI WENGI ZAIDI ZANZIBAR. Read More »