Bomba FM Radio 104.1 MHZ

Mamlaka ya Hali ya Hewa:Mvua kubwa kunyesha tena ndani ya siku Tatu

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kunyesha kwa mvua kubwa kuanzia usiku wa  tarehe 10/01/2018 hadi  tarehe 13/01/2018

Mvua hizo zitaathiri Ukanda wa Pwani na Kusini zikianzia mikoa ya Lindi na Mtwara na kusambaa maeneo ya Morogoro kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *