logo

Wakurugenzi wawili Kagera Watumbuliwa kwenya ziara ya Rais Magufuli mkoani humo,

 

KAGERA: Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Erasto Mfugale na wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini, Bi. Mwantumu Dau.Wote wawili watapangiwa kazi nyingine na uteuzi wa Wakurugenzi wapya utafanyika hapo baadaye.

 

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *