logo

Mvua kubwa inatarajiwa katika ukanda wa Pwani

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetehadharisha kuwapo kwa mvua kubwa inayozidi ujazo wa milimita 50 ndani ya saa 24 kuanzia usiku wa tarehe 31/07/2017 hadi 03/11/207

Mikoa itakayoathirika ni Tanga, Dar, Pwani na visiwa vya Unguja na Pemba, pia itasambaa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Lindi.

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *