logo

Rais Uhuru Kenyatta ametangazwa mshindi wa urais wa marudio nchini Kenya akiwa na kura 7,483,895 sawa na 98%.

Rais Uhuru Kenyatta ametangazwa mshindi wa Uchaguzi wa marudio nchini Kenya akiwa na kura 7,483, 895 sawa na 98%.

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema kiongozi wa upinzani Raila Odinga aliesusia uchaguzi huo alipata kura 73, 228 sawa na asilimia 0.96.

Bwana Chebukati amesema jumla ya wapiga kura 7,616,217 ambao ni sawa na asilimia 38.84 kati ya jumla ya wapiga kura 19.6 Milioni ambao wamejiandikisha kuwa wapiga kura nchini humo  walishiriki uchaguzi huo wa alhamisi iliyopita.

 

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *